Wednesday, January 7, 2015

Redemption of the Beast kumrudisha DOGMAN X ktk Game 2015




Mpaka sasa ni kwamba cd itakuwa na nyimbo 16 na wasanii walioshirikishwa ni pamoja na Freeway na msanii mpya Jannyce.
Watu wengi wanasema album hiyo mpya ya DMX Kwa kuifananisha na album yake ya kwanza iliyotoka mwaka 1998 “It’s Dark and Hell Is Hot” ambayo ilishika namba moja kwenye chati za album ndani ya wiki moja tu.
Hii ndio orodha ya nyimbo kwenye cd hii mpya.
1.Spit That Shit
2.Built Like A Bitch
3.On and On
4.Get Up and Try Again
5.Solid Ft. Rampage
6.I’m Gonna Win
7.It’s A Problem
8.It’s Goin’ Down
9.Shout It
10.One More Night
11.56 Bars
12.Where You Been Ft. Freeway
13.Right or Wrong Ft. Jannyce
14Gonna Get Mine
15.We Gonna Make It
16.Love That Bitc

No comments :