Thursday, October 9, 2014

BAADA YA KUWEPO TETESI NYINGI MNOO KUHUSU KUTALAKIANA KWAO -BT JAY-Z TENA STUDIO NA MKEWE BEYONCE


BAADA YA KUMALIZA TOUR YAO AMBAYO WALIMALIZIA KATIKA MJI WA PARIS NA WAKATI WALIPOKUWA WANAOKANA KATIKA STATES TOFAUTI WAKATI MMOJA KATI YAO AKIWA HAJAVAA PETE YA NDOA NDICHO KILICHOPELEKEA WATU KUSEMA HAYA  BT KAMA TUMJAVYO JAY-Z AMEKAA KIBIASHARA SANA KWANI TUNAKUMBUKA HATA ALIPOMSAINI RIHANNA KATIKA LABEL YAKE YA ROCAFELLA AMBAYO INASIMAMIWA KAZI ZAKE NA DEF JAM ALIKUWA KARIBU SANA NA RIHANA KIASI WATU WAKAWA WANAJUA ANAMAHUSIANO NA RIRI KUMBE ILIKUWA NI KUTENGENEZA ATTENTION KWA AJILI YA MAUZO YA UJIO WA RIHANNA.. AKIWA KAMA C.E.O WA DEF JAM KWA KIPINDI KILE,  NYINGINE YTASHANGAA JAMAA KAKATAA KWENDA KUHUDHURIA KWENYE HARUSI YA RAFIKI YAKE KANYE WEST NA KUMSHAURI PIA KANYE ASIKUBALI KUSHIRIKI KIPINDI CHA KEEP UP WITH KARDASHIAN KWANI KITAPENDWA ZAIDI KWANI WATU WATATAKA KUMJUA KANYE SO UTAONA JAMAA ALIVYO KUWA MCHUMI NA ANAVYOJUA KUISA , TIZAMA IDEA ALIYOMSHAURI MKEWE KURELEASE ALBUM ONLINE KITU AMBACHO KWA MUDA WA SAA 48 TAYARI ILIKUWA IMESHA KWISHA KUUZA NAKALA LAKI NANE  SO JAMAA ANAJUA BUSNESS NA SASA BAADA YA WAO KUMALIZA TOUR YAO YA ''“On The Run'' WALIOMALIZA LAST MONTH SASA WAMEJICHIMBIE STUDIO KUFANYA ALBUM YA PAMOJA NA TUTEGEMEE ALBUM HII SOKONI MWAKANI .
SOMA MASHAIRI YA JAY-Z YA NGOMA YA DIAMOND FROM SIERA LIONE (RMX) HAPO CHINI

No comments :