Monday, June 2, 2014

Diamond kufanya ‘kollabo’ na Trey Songz wa Marekani?


Diamond bado yupo nchini Marekani, picha hii picha amepiga pamoja na mmoja wa mwanachama wa kundi la Wasafi ikimwonesha Diamond akiwa na meneja wa wasanii wakubwa wa Marekani, akiwemo Trey Song, Big Sean, Estelle…

Bila shaka kukutana kwao si bure… tutarajie kitu kingine kikubwa toka kwa Diamond?

No comments :