Friday, May 30, 2014

Muziki wa Hip Hop miaka 40 baadaye-Mchipuko, wasanii na historia ya miaka arobaini ya muziki wa Hip Hop. Nini kimebadilika

Scate Board P... Pharell all the way back mpaka sasa anafanya vizuri na Album yake ya G.I.R.L.S  na akiwa na umri wa miaka arobaini  na bado Game inamdai...!

B.I.G Back in a days

Tho deal yake na Apple imekufa ambayo ilikuwa impelekee Dr. Kuwa Billionea wa kwanza katika ulimwengu wa HIP HOP bt still game inamuhitaji na anaumuhimu wake katika game kwa KIONGO MINNE YOTE ALIYOKUWAPO

Ameweza kumaintan kuwa UNO of the illest MC ever KWANI HATA WAKUBWA WENZAKE WALIOKUWAPO KWENYE gAME THEY CAN TELL U WHO nas IS.. SI THAT JUST LIKE NAS LIKE...!?

ALL I KAN SAY NI  Heshima zooooooooooote za misimamo na itikadi zisizopindishwa kaka wewe ni mmoja kati ya watu muhimu katika hii dunia uliwajua na kuwachana

Obviously ntakuwa sijatenda haki kama sikukutaja kaka

ILLEST CATS U MAY SCARE EVER THAT "Mos Def-net-lly an TALIB KWELI.....!

No comments :