Friday, May 9, 2014

Dr. Dre Azungumzia kuwa kwake "Hip Hop’s First Billionaire"



Muimbaji/Muigizaji aliweza kufunguka hadharani kuhusiana na watu matajiri waliokuwapo katika ulimwengu wa  Hip Hop, Taarifa hizo zilisikika jana pale  Dr. Dre na Jimmy Iovine baada ya kuamua kuizuia kampuni ya Apple "Headsphones" za "Beats by Dr.Dre" kwa  $3.2 billion. Na kiasi hicho kumuweka Dre kuwa BILIONEA wa kwanza katika ulimwengu wa Hip Hop.
Drena Tyrese walikuwa pamoja wakati mkataba huu ukisainiwa baina ya Dr. na wahusika wa Beats/Apple.Na Tyresealiweza kushare picha katika mtandao wake wa  Instagram.
Na yalisikika maneno haya kutoka kinywani kwa Dre “The first billionaire in Hip Hop. Right here from the motherf**king West Coast.”

No comments :