Hizi ni picha ambazo Eminem amepost ktk mtandao wake wa instgram akiwa location wakati anapiga picha za video ya "Headlights".
Eminemleo mapema kafanya kitu kimoja kizuri sana kwake baada ya kuwa directed video ya wimbo wake “Headlights”.
Kupitia mtandao wake wa Instagram Eminem amepost, picha zinazomuonyesha akiwa anapiga picha za video hiyo inayotoka katiaka album yake fourth The Marshall Mathers LP 2.Picha hizo zimepigwa katika mji wao wa nyumbani Detroit. “Headlights”, akiwa amemshirikisha Nate Reuss ikiwa imekamata nafasi ya#11 on on Billboard’s R&B/Hip Hop Digital Songs.
No comments :
Post a Comment