Saturday, April 12, 2014

HII NI MOJA KATI YA PICHA ILIYOLETA SIMANZI KUBWA DUNIANI KATIKA MITANDAO MINGI KWA KAULI YA MTOTO KUTOKA SYRIA KUNAKOENDELEA NA MACHAFUKO HII NDIO ILIYOKUWA KAULI YA MTOTO HUYO KABLA YA KUIAGA DUNIA" I'm Gonna tell God Everything"

Kwa machafuko na milipuko inayoendelea Nchini Syria na Lawama nyingi akitupiwa Rais  Bashar al-Assad is a ruthless killer hii ni kauli ya kijana wa miaka mitatu aliyekuwa ni mmoja wa waliokubwa na mlipuko huo na kupoteza familia yake na haya ndio maneno aliyoyasema kabla ya yeye kufikwa na umauti
 
The last sentence a 3-year-old Syrian said before he died: “I’m gonna tell God everything”
 

No comments :