Tuesday, March 4, 2014

CHRISS BRIIIIZZZ AFUNGUKA NA KUSEMA HANA UGOMVI NA DRAKE BAADA YA TAARIFA MCHIZI KUJIACHIA NA MDADA RIHANNA PANDE ZA UFARANSA

Nilisha wahi kuiripoti hii  Ugomvi uliotokea baina ya Drake na Chriss Brown, ambapo Chriss alikuwa akilalamika Drake kuwa na mahusiano na Aliyekuwa mpenzi wake Rihanna kitu kilichopelekea Drake kumdhuru Chriss Brown na chupa.
      Muda ulipita na kila mmoja kushika lake from Rihanna, Drake na Chriss, Ambapo Chriss hali ya kuachana na Rihanna ilimuweka katika wakati mgumu mno na ndio maaana baina ya Chriss na Rihanna uhusiano wao umekuwa ON and OFF kwa muda mwingi.
Kubwa kuliko ni iliyotokea pale Ufaransa wakati Drake akiwa katika Show ambapo Rihanna na yeye alikuwa Paris kwa ajili ya show lakini alipata fursa ya kwenda kwenye show ya Drake Ghafla kwa SUPRISE....! mwanandada RIRI alipolivamia jukaaa na kuanza kuperfom ngoma ya TAKE CARE aliyoimba na Drake na kucheza kwa machejo ya kimitego kiasi kuacha vinywa vya watu wazi, Haikuishia hapo kwani baaada ya hapo walionekana pamoja after part na hata hapo baadae walionekana pamoja katika Hoteli aliyofikia Drake.
KAULI KUTOKA KWA CHRIS BROWN NI KWAMBA


I'm Not Mad at Rihanna

For Banging Drake Again


       

No comments :