Tuesday, December 31, 2013

Anayeshukiwa kuhusika kwa kifo cha kupigwa risari Rapper Doe B ambaye ni alikuwa member wa Grand Hustle amekamaktwa


Jason McWilliamsNdiye jamaa aliyetajwa kuhusika katika mauaji ya kupigwa risasi Rapper Doe Bizzy wa Grand Hustle wakati akifanya show katika mji wa Montgomery,  uliopo Alabama, Jumamosi 28/Dec

No comments :