Wednesday, February 1, 2012

Mwana dada Cassie Ventura awaweka watu na mshangao baada ya kuonekana na Pete ya uchumba Juzi jumapili katika B'day party ya mtu mzima Rick Ross'



Ilikuwa kwa dizaini ya mshangao hiviii baada ya mwanadada Cassie Ventura pale alipooonekana na pete ya uchumba katika B'day party la Mtu mzima Rick Ross na watu wengi walikuwa wakijiuliza swali moooja kuubwa kwamba mtu mzima Diddy kaamua kuweka mambo kweupeni.

No comments :