Wednesday, February 1, 2012

kukua kwake kwazidi kudeal mchizi Chriss Briiiizzz

MBona ni mwaka wake kwani ameuanza vizuri kwa aliyekuwa mpeni wake na waka kwazana kwa kumdunda mwanadada Riri Chriss amepokea deal la kuwa mmoja kati ya wasanii watakao Perform katika tamasha kubwa la utoaji wa tuzo za Grammy mwaka huu.
Grammy ambazo kwa wale wenye access ya kuweakuitizama show hii kupitia CBS siku ya Feb 12

No comments :