Thursday, April 7, 2011

WASHIRIKI WALIOTOLEWA KATIKA MCHUJO WA “American Idol” season 10 KUFANYA TOUR MIJI MITANO


Mja kati ya washiriki watatu ambao tayari wameshakwisha kutolewa katika mchujo wa “American Idol” ambao ni Chris Medina, Rob Bolin and Tim Halperin watafanya tour miji mitano ndani ya nchi ya U.S.A , ambapo wataanzia Toledo na kumalizia Chicago ikiwa ni kwa lengo la kumchangia mchumba wa mmoja wa mshiriki mwenzao mbaye ni Chris Medina, mchumba ambaye anasumbuliwa na matatizo ya ubongo baada ya kupata ajali mbaya

1 comment :

Anonymous said...

Ow dats so great people should have unity as them and they are to be seen as example to the society BIG uP JUREJIIIII