Friday, March 25, 2011

sio kweli tetesi zilizokuwa zimevuma kwamba Jaden Smith kafariki katika barafu


moja kati ya stupid wehu flani wa mitandao wameleta story kwamba JADE SMITH kafariki ajali ya barafu huko Switzerland...moja kati ya mastaa wengine waliowahi kuvumishiwa wamekufa ni kama Adam Sandler, Jeff Goldblum, Urkel and Pat Sajak ...
baada ya story hii mzee WILL WENYEWE ALIBAINISHA NA KUSEMA FUNUNU HIZO SI ZA KWELI

No comments :