Saturday, August 28, 2010

mtoni hakuna ustar mbele ya sheria


Baaada ya kesi yake na Riiriii kufikia hatamu ya kwamba mchizi apige kazi za kijamiii jana alireport mahakamani na kuendeleza jaramba la kusafisha mjiii.....lol Dug job Chrisssssssss breeeeeezzzzzzy!

No comments :