Thursday, June 10, 2010

Wakati Kombe la Dunia linaanza leo This is wht its Gona Happen kule Zanzibar

MAMBO VIPI KAKA? POLE NA KAZI. KAKA MIMI NAITWA MUSLIM NASSOR NAFANYA KAZI TELEVISION ZANZIBAR{ TVZ}
TULIKUWA TUNAOMBA MSAADA WAKO UTUTANGAZIE SHOW YETU AMBAYO ITAFANYIKA SIKU YA
UJUMAA TAREHE 11/06/2010 UKUMBI WA GHYMKANA KWA KIINGILIO CHA SHILINGI 5000 WASANII WATAKAO KUWEPO NI.
EXTRS BONGO IKIONGOZWA NA ALI CHOKI,
PROFESAR J,
HUSEIN MACHOZI,
JOHN WALKER,
RAS LION,
BERRY BLACK,
RICO SINGLE,
NA MWANADADA DORICA,
SHOW IMEANDALIWA NA PROGRAM YA TRIANGLE PAMOJA NA KONGA MOYO IKISHIRIKIANA NA JUPITER RECORDS NA AFRICA HOUSE HOTEL.

No comments :