Monday, April 5, 2010

Mtu mzima Ice cube..! awa diss watu kibaao ktk ngoma yake ya" Drink The Kool Aid."


MOja kati ya watu waliodisiwa ktk ngoma hii niJay-z, Kanye west, lil wayne, pamoja na eminem..., na moja kati ya line ""I heard there was a New West Coast...I ain't heard it." I hope nobody gets mad at me. Cube is saying this! He's going in!!!! "

No comments :