Monday, April 5, 2010

Beef hakuna bana tena Tuko poa..!

Ni takribani miaka kumi na 2, toka walipofanya moja ktk ya ngoma ambazo zilifanya vizuri mnoo..! mwanadada Monica na Brandy hawakuwa na uelewano mzuuuri .lakini weekend hii monica aliitweet hiii picha na kuwajulisha mashabiki wa muziki wao kwamba yeye na brandy wako poa kabiisa.!

No comments :