Monday, July 13, 2009

Cheack out na hiii hapa







Wakati mwana dada Beyonce akiwa New Orleans Kufanya show Essence Music Fest July 3, wakati Jay ..Z alionekana na mwanadada Rihanna wakiwa katika party ya pamoja huko Las Vegas, wakati Chriss Briiiizzz alionekana akiwa Bega kwa bega na mwanamitindo Amber ambaye ni demu wa kanye na walifikia mpk hatua ya kukiss...
kweli majuu mnazooo nyie

No comments :