Saturday, April 25, 2009

Rihanna awawakia LAPD kwa kuwaambia Gimme Back My Bling!



Mwanadada Rihanna ameamua kuwatolea uvivu LAPD kwa kuzizuia jewelry zenye thamani ya $ 1.4 million ambazo alizikodisha kwa ajili ya pre-Grammy party, ambayo walihudhuria yeye na Chrissss Breeeeeeeeeezzzy!, kabla ya ugomvi baina ya Rii Rii na Chriss breeeeeeeeeezzzzzzzzzzzzzzzzzy!!, LAPD wamesema wamezizuia kwa ajili ya uchunguzi baaado

No comments :