
Baada ya wao kufanya kazi kama Group kwa muda mrefu wanadada watatu wanaounda kundi la Destiny's child waliamua kupeana nafasi kwa kila mmoja kuingiza album sokoni na hilo tulilishuhudia sisi kama washabiki na wadau wa muziki huu wa R&B, kwani tuliweza kuona kila mmoja akija na album yake na sasa baaada ya mwanadada Beyonce(Mrs.Shawn Carter/Mrs Jay-Z) kumaliza tour yake ya I Am Sasha Fierce.., watajumuika tena pamoja kufanya album ya pamoj kutokana na mkataba waliokuwa wamesaini na label ya Columbia Recoeds....Lets wait Guyz tuone itakuwaje hiyo Album
No comments :
Post a Comment