Saturday, January 31, 2009

Ftre movie ya "baby boy" wamekuwa wanafamilia moja

Producer, and director John Singleton,Taraji P. Henson(Yvette),Tyrese Gibson(Jody) kwa pamoja wamekuwa familia baada ya kucheza pamoja movie ya Baby boy picha hii ni siku ya B'day ya Tyrese iliyokuwa 30 December

No comments :