Saturday, January 31, 2009

duuuhh Finally mwanadada kachukua talaka rasmi jana..!

Kimora Lee Simmons (age 33) Alizaliwa Kimora Lee Perkins tarehe 4/5 1975. Ni mwanamitindo wa kimarekani, mwandishi wa vitabu, mbunifu wa mavazi ya watoto ya "Baby Phat, KLS, apamoja na kampuni nyingine ya mavazi ya Fabulosity, na vilevile nimuigizaji. Kimora Kimora alikuja kua CEO wa Phat Fashions. .December 20, 1998, Kimora aliolewa na Russell Simmons. Wana watoto wawili Ming Lee ambaye alizaliwa January 2000 na Aoki Lee ambaye alizaliwa August 2002. Wote wawili Ming Lee na Aoki Lee ni wanamitindo kwa ajili ya mavazi ya watoto ya Baby Phat Kids Collection. In 2002, kuna uvumi ulienea ukiwa unamshutumu Russell kwamba anamahusiano na mmoja wa wanamitindo wa mavazi ya Baby Phat mwanamitindo Kisha Batista. 2005 kupitia documentary ya "The Aggressives" Kisha Batista alizungumzia mahusiano aliyokuwa nayo . Kimora na Russell walitengana March 2006, lakini watu wakaibu walikuwa wakizungumza na kusema wametengana bt bado wako pamoja. Mwaka 2006 walitangaza rasmi kutengana kwao na kusema ktk miradi watafanya kazi pamoja Phat Farm na Baby Phat clothing lines. March 2007, Kimora akaanza mahusiano ya kimapenzi na muigizaji na mwana mitindo Djimon Hounsou in 2007. March 2008, Gazeti la New York Post ukurasa wa sita wali ripoti kwamba Kimora ana ujauzito wa Honsou. na mpaka sasa hatujajua ukweli juu ya hili kwamba ni kweli Kimora ana ujauzito wa Djimon Hounsou. stay tune ktk LOUD "N" CLEAR utapata madetail zaidi.

No comments :