Wednesday, December 17, 2008

katoa nafasi kwao pia waweze kushaini katika video yake


Tumezoea kuona ma model tuu katika video'z bt Usher katoa nafasi kwa wasichana walio kati ya umri wa miaka 13-18 kutoka vyuo mbalimbali nchini marekani kujitokeza ktk audition ya kuwapata ma student models wa kufanya nao videoz

No comments :